| Mifano
|
- 'Vya jirani havifai
- Cha kubebea kimetoka
- Za Bukoba ni tamu
- Za kwetu zimeisha
|
Viwakilishi vya -a unganifu ni neno/maneno ya sifa - yanayosimama badala ya nomino inayosifiwa kwa kutumia mzizi wa -a unganifu.
- Mifano
- Ya moto yanaunguza
- Wa Mbeya ni mweupe
- Vya China ni imara sana
- Cha kukalia kimevunjika
- La saba wamehitimu
- Tokeo la matumizi ya juu
Y a moto yanaunguza
W a Mbeya ni mweupe
Vy a China ni imara sana
Ch a kukalia kimevunjika
L a saba wamehitimu
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Lango:Lugha
- Vivumishi
- Viwakilishi
Aina za maneno |
|---|
| | Nomino (N) |
- Nomino za pekee
- Nomino za kawaida
- Nomino za dhahania
- Nomino za jumla
- Nomino za wingi
|
|---|
| | Viwakilishi (W) |
Viwakilishi vya sifa
Viwakilishi vya idadi
Viwakilishi vya kuuliza
Viwakilishi vya kuonesha
Viwakilishi vya nafsi
Viwakilishi vya kumiliki
Viwakilishi vya -a unganifu
Viwakilishi vya amba
Viwakilishi vya urejeshi
Viwakilishi vya pekee |
|---|
| | Vivumishi (V) |
Vivumishi vya sifa
Vivumishi vya idadi
Vivumishi vya kuuliza
Vivumishi vya kuonesha
Vivumishi vya kumiliki
Vivumishi vya -a unganifu
Vivumishi vya amba
Vivumishi vya urejeshi
Vivumishi vya pekee
Vivumishi vya jina kwa jina |
|---|
| | Vitenzi (T) |
Kitenzi kikuu
Kitenzi kisaidizi
Kitenzi kishirikishi |
|---|
| | Vielezi (E) |
Vielezi vya namna
Vielezi vya mahali
Vielezi vya idadi
Vielezi vya wakati |
|---|
| | Viunganishi (U) |
Viunganishi halisi
Viunganishi vihusishi |
|---|
| | Vihusishi (H) |
|
|---|
| | Vihisishi (I) |
|
|---|
|
|
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya -a unganifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|
crT5i D h0XwGV i IiAan 45 v Ji4g i7 Yye nj hEe W h